wakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?
natanguliza shukurani!

Hakuna haja ya blanket.
Njoo na condoms nyingi.
wakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?
natanguliza shukurani!
ahsante bro!nadhani kwa dharura si mbaya kwa ushauri wako...japo naona linachukua nafasi kubwa kwenye sanduku langu!aisee,dar hii hii uje na blanket?anyway chukua tu kwa tahadhari kwani kuna siku unaweza kuugua malaria,homa kali,baridi kwa sana labda utalitumia kujifunika siku hiyo but dar 99%joto
inategemea utakaa wapi. kama ni mabibo hostel, huko ni 'jehanum'-joto kali sana ukizingatia kuna 'kubebana'. chumba cha watu 4 wanalala mpaka 10, full ushuzi! na wala usitegemee utalala mwenyewe, hata kama humjui mtu utatafutiwa wa 'kumbeba'. ukiwa mlimani hostels baridi ipo hasa wakati wa alfajiri! kule ni porini kabisa, tena naona wamejenga hostels mpya njia ya kwenda changanyikeni karibu kabisa na bustani ya millenia! huko utakutana na tumbili wa kutosha, watakuja mpaka ndani.wakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?
natanguliza shukurani!
ahsante bro!nadhani kwa dharura si mbaya kwa ushauri wako...japo naona linachukua nafasi kubwa kwenye sanduku langu!
tumlack!!mimi sijawahi kuyasikia yote katika ulimwengu huu!we uliwahi kuyasikia yote...sisi na wewe ndo tunajaza uzi humu ndani ungepita bila kucomment kusingewahi kujaa![/ acha kujitoa ufaham ww... sasa njoo nalo blanket lako c unajifanya chiz...
najifanya chizi!!!blanket linatumiwa na machizi acha utani basi tumlack!tumlack!!mimi sijawahi kuyasikia yote katika ulimwengu huu!we uliwahi kuyasikia yote...sisi na wewe ndo tunajaza uzi humu ndani ungepita bila kucomment kusingewahi kujaa![/ acha kujitoa ufaham ww... sasa njoo nalo blanket lako c unajifanya chiz...
ovaroli la nini tena kibaka mdogo!kwani nakuja kujifunza ufundi garage!nimechaguliwa bcom siyo engineering!chukua blanket mbili, makoti matatu, ovaroli moja na uandae hela ya maji ya moto pia yanauzwa. dar kuna bard zaid ya urusi.