Nije na blanket?

Nije na blanket?

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
wakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?

natanguliza shukurani!
 
aisee,dar hii hii uje na blanket?anyway chukua tu kwa tahadhari kwani kuna siku unaweza kuugua malaria,homa kali,baridi kwa sana labda utalitumia kujifunika siku hiyo but dar 99%joto
 
nakushauri uje nalo, kwani litakusaidia siku ukifulia. Wateja wanapatikana ubungo yanapopaki mabasi ya kwenda Mbeya na Iringa!
 
Njoo na zile dawa za kuongeza nguvu za kiume...wenzako huku Dar es Salaam ndio biashara inayowawezesha kuishi

ahsante mkuu huo ushauri nitaufanyia kazi,je kuna sehemu naweza kuwa nauzia au hapo hapo chuoni!
 
aisee,dar hii hii uje na blanket?anyway chukua tu kwa tahadhari kwani kuna siku unaweza kuugua malaria,homa kali,baridi kwa sana labda utalitumia kujifunika siku hiyo but dar 99%joto
ahsante bro!nadhani kwa dharura si mbaya kwa ushauri wako...japo naona linachukua nafasi kubwa kwenye sanduku langu!
 
nakushauri uje nalo, kwani litakusaidia siku ukifulia. Wateja wanapatikana ubungo yanapopaki mabasi ya kwenda Mbeya na Iringa!
mmmh!unamaanisha nije niliuze huko?kwani huko hayapatikani!
 
wakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?

natanguliza shukurani!
inategemea utakaa wapi. kama ni mabibo hostel, huko ni 'jehanum'-joto kali sana ukizingatia kuna 'kubebana'. chumba cha watu 4 wanalala mpaka 10, full ushuzi! na wala usitegemee utalala mwenyewe, hata kama humjui mtu utatafutiwa wa 'kumbeba'. ukiwa mlimani hostels baridi ipo hasa wakati wa alfajiri! kule ni porini kabisa, tena naona wamejenga hostels mpya njia ya kwenda changanyikeni karibu kabisa na bustani ya millenia! huko utakutana na tumbili wa kutosha, watakuja mpaka ndani.
 
... hujawahi skia hali ya hewa ya dar? ...
hali ya hewa ya dar si uzima wa milele hadi niufatilie sana...afterall sikuwahi kufikiri nitaishi huko japo kusoma!!ili kumbuka dar kwangu ni kama ulaya...
 
tumlack!!mimi sijawahi kuyasikia yote katika ulimwengu huu!we uliwahi kuyasikia yote...sisi na wewe ndo tunajaza uzi humu ndani ungepita bila kucomment kusingewahi kujaa![/ acha kujitoa ufaham ww... sasa njoo nalo blanket lako c unajifanya chiz...
 
Last edited by a moderator:

najifanya chizi!!!blanket linatumiwa na machizi acha utani basi tumlack!
 
Last edited by a moderator:
chukua blanket mbili, makoti matatu, ovaroli moja na uandae hela ya maji ya moto pia yanauzwa. dar kuna bard zaid ya urusi.
 
ovaroli la nini tena kibaka mdogo!kwani nakuja kujifunza ufundi garage!nimechaguliwa bcom siyo engineering!
 
Back
Top Bottom