mkuu vingine hapo sivifahamu!!
nakushauri uje nalo, kwani litakusaidia siku ukifulia. Wateja wanapatikana ubungo yanapopaki mabasi ya kwenda Mbeya na Iringa!
za nini sasa hizo wakati nitakuwa nakula cafeteria
Xawa bhana tuxhakujua kwamba na ww um£chaguliwa udsm mana ndo ulichokuwa unataka ikowakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?
natanguliza shukurani!