Nije na blanket?

Nije na blanket?

Join Date : 25th May 2009
Location : PANDAGI CHIZA
Posts : 5,688
Rep Power : 1777
Likes Received1567
Likes Given932
 
usisahau sleeping bag, mzula, gloves za nguo/ leather, na scarf mzito usihisahau ndgu yangu.
 
Ahaahaaahaaa.... umenikumbusha maixha ya scouts nlipokua kambi la bahati camp kule moro.... rolla
 
Last edited by a moderator:
Join Date : 25th May 2009
Location : PANDAGI CHIZA
Posts : 5,688
Rep Power : 1777
Likes Received1567
Likes Given932
angalau umepata wasaa wa kupitia profile yangu!
 
wakuu heshima mbele!
nimechaguliwa kuja kusoma UDSM, sikuwahi kufika dar hapo kabla,mi mwenyeji wa Monduli!wakati nafanya maandalizi mama yangu ameninunulia blanket pia je kuna umuhimu wa kuja nalo au naweza kununua huko huko?

natanguliza shukurani!
Xawa bhana tuxhakujua kwamba na ww um£chaguliwa udsm mana ndo ulichokuwa unataka iko
 
Xawa bhana tuxhakujua kwamba na ww um£chaguliwa udsm mana ndo ulichokuwa unataka iko
sawa boss,kama kwako kuomba ushauri ni kutaka kujulikana poa!ila najivunia kupata nafasi kwa si wote wameipata!
 
Back
Top Bottom