Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Culture Me

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Posts
10,490
Reaction score
21,398
Guys,
September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4]
Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time,

What does it feel like to be in 30s? will my skin change? will my brain change? will i grow wrinkles?

Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho [emoji1][emoji119]),

Wengine walisema nibadili jinsi ya kulala eti nilalie mgongo sio tumbo kuavoid wrinkles [emoji848]

Kuna hizi Facial Serum, ni sawa nikianza kuzitumia au nitazidi kuharibu ngozi yangu [emoji134],

Too Many Questions hunh!
Lol, i'm confused,

Ambao mpo kwenye 30s au zaidi mnaweza kutoa uzoefu wenu ulijipangaje kuingia kwenye 30s na ulijisikiaje ulipofika 30?

 
Hongera CM..
Fanya mazoezi,kula vizuri,kufunga na yenyewe pia ni Dawa.

Happy birthday
 
[emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri,
Mie nimeingia mwaka jana, ila sikuwahi kuiwazia 30 yangu sababu niliona hakuna kipya, nitawaza nikikaribia 50 ila 30 bado kijana sana mwenye nguvu tele ukianza kuifikiria utazeeka upesi,

Face Serum wanashauri lakini mimi natumia za asili Alovera gel na Banana, Unga wa Liwa na Unga wa Manjano,
Kama una ngozi kavu paka sana mafuta sababu wrinkles ni rahisi kutokeza, kaa mbali na jua, paka sunscreen hasa mikononi,

Jenga nyumba, nunua gari, wekeza zaidi kwenye real estate, usikose pesa ya kwenda vacay, pata muda wa kupumzika, usiruhusu stress na masononeko.

Welcome kwenye 30s club.
 

wow! My Queen
Nitaanza hizo serums za asili, alovera gel na banana nina blend pamoja??

Shukrani sana kumbe sitakiwi kua worried hadi miaka 50 basi acha niendelee kula ujana [emoji3060][emoji3060]
 
Ingia 30 ukiwa na kwako, familia yako, usafiri na Furaha ya moyo.
 
wow! My Queen
Nitaanza hizo serums za asili, alovera gel na banana nina blend pamoja??

Shukrani sana kumbe sitakiwi kua worried hadi miaka 50 basi acha niendelee kula ujana [emoji3060][emoji3060]
Yes dear, banana na Alovera gel una blend pamoja waweza kuweka na asali mbichi, osha uso wako kwa maji safi na sabuni, ukaushe halafu upake mchanganyiko wako, kaa nao muda wowote uwezavyo hakuna madhara hadi ukijisikia kunawa utanawa kwa maji ya vugu vugu,

Una Ngozi nzuri sana nikuonavyo Pichani, hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…