nikweli mkuu
mimi niliweza kujitoa mapema sana katika mfumo huo,
nikaangalia kusoma nijiajili sio niajiliwe,
na leo hii ulimwengu unabadirika kwa kasi kubwa sana maana google wameukamata ulimwengu wa teknolojia kwa hali ya juu sana,
leo huu mambo yakufanya kwa language 5 unaweza fanya kwa language moja ambayo haipo chuo bali ipo mtandaoni tu.
hivyo inategemea pia umeelewa vipi hiyo physics na unawezaje kujiajili nayo.
mimi huwa napenda sana kuawaza kwa kuangalia namna gani naweza kujiweka kuwa bidhaa adimu ili niwe na thamani kubwa zaidi kila kuchwao,
ila huwa siangalii kitu gani kipo sonokoni au kitu gani kinauzika siku zote nawwaza mimi kuwa bidhaa yenye thamani na niuzike mwenyewe.
nashukuru leo hii naweza kufanya makubwa ambayo hata huko chuo ningeenda sidhani kama ningeweza kuyapata.
never limit yours....................
Imagine umemasta vizuri quantum physics su atomic/nuclear physics hapa bongo, utajiajiri vipi kwa hio knowledge?
Ulaya Asia,USA wana develop quantum computer, quantum internet, quantum engine, quantum satelite nk. hizo ni research centre tena uwe na Phd au very geneus.
Unaweza anzisha tafiti za kuunda quantum electronic chip hapa bongo ?
Uko mtaani labda ukawe fundi umeme wa majumba.
Cha ajabu ni kwamba curriculum ya physics TZ haina applied physics ni theoretical physics tu.
Just imagine unasoma physics(non major) ila husomi microcontroller,,processor nk
Sasa wewe utadizaini nini kwa ulimwengu huu wa teknolojia ya digital.
Non physics major hawasomi computer programming mpaka ufanye option huku una unit 30+
Mkuu there is big knowledge gap ktk mitaala ambayo kuiziba ufanye kazi ya ziada.
Sijajua wanaofanya engineering wanakuwa competent kiasi gani, ila natural science ni majanga labda ushifti to another career.
Ulaya wenzetu wameanzisha kitu kinaitwa engineering physics, yani mtu anakuwa hana tofauti na engineer sie bado tupo na mtaala wa mkoloni mpaka usome post graduate ndio uwe injinia, huu ni upotezaji wa muda.