Nijinasue vp hapa??

Nijinasue vp hapa??

Tingitane

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
116
Reaction score
132
Habar za asubuh wanajf mi nina D tano tu kwenye haya matikeo yaliyoteka sura za magazeti i.e 4m4 naomben ushauri wenu nawezaje kuendelea kielimu??
 
soma certificate for one year then ukimaliza ingia diploma kwa miaka miwili mambo yako yatakuwa safi, ila usifikiri sisi ni wa rika lako unatuambia habari za asubuhi!
Amkia pu.mb..a vu mkubwa wewe
 
Kama unaweza, ikiwa kama umefaulu sayansi, nenda kasomee Ikilimo au Afya ya Binadamu.
Ikishindikana,ikiwa tu kama unauhakika wa kazi, kasomee biashara. Vyote hivyo ni ngazi ya cheti.
Usihofu juu ya chuo, mwaka huu vyuo ni vya kujichagulia.
 
D,tano za nini?maana kuna shule wanasoma had upishi,kuchora,kushona,mfano kisutu girls
 
hahaha so hapo unatuambia hizo D ni ni za frm mtoririko huu?
1-sanaa
2 cookery
3 needlework
4 . Religion
 
Back
Top Bottom