Nijuavyo mimi!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Nachojua mimi Pesa Zote Ni Za Jamhuri Ya Muungano Wa Wa Tanzania*, *asa Unaponiambia Nikutumie Pesa Ya Christmass*, *Unanipa Wakati Mgumu, Bila Shaka Hizi Zitakua Noti Mpya.....:*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji124][emoji124][emoji124]
 
kisingizio mujarabu kilicho kirihi karaha kwani hakina mashiko.Waweza ona uhusiano uking'oa tanga na kuota mbawa baada ya sikukuu hizi kupita
 
Wenzako watamtumia izo hizo usizozielewa wewe halafu mrejesho wake utaupata mubashara kabisa...

I hope you understand what will be next....
 
Hujakutana na flagmet... Kwa hoja wapo vizuri utatuma tu hiyo hela ya krismas unayoiyona ya jamhuri ya muungano wa tz😀
 
Ha ha ha ha ha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…