Huenda ndo Ajira yakeMsaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
Mkuu sio kila wakati ni kazi tu, usikariri maishaHuenda ndo Ajira yake
Shukrani mkuu...Movie box...... Download hii ina uchafu wote Korea, bollywood, hollywood, Nigeria, bongo movie animation etc
Ubarikiwe...Nkiri.com
Amina mkuuUbarikiwe...
Pamoja sana Mkuu....