UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 414
- 481
Ni rafiki yangu mjasiriamali. Anauza vitu vinavyotumika kwa mahafali. Vitu hivyo ni kama mataji, maua, kadi, n.k.
Kwa msaada wenu, andika jina la shule na tarehe ya mahafali ili huyu kijana ajiokoe katika biashara yake, si unajua tena J.P kabana!
Shule iwe ndani ya jiji la DSM.
N.B. Usipuuze wala usione uvivu kuandika vitu tajwa hapo juu.