Nijulisheni nitapata wapi kibendera kidogo cha Tanzania

Nijulisheni nitapata wapi kibendera kidogo cha Tanzania

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
1,773
Reaction score
688
Wakuu heshima mbele!
Ninahitajika mahali fulani ambapo tutakuwa na watu wa mataifa mbalimbali. Kila mmoja ameagizwa aende na kibendera kidogo cha mezani cha nchi yake (elimu ya uraia pia inahitajika hapa kwani sielewi kama kuwa nayo ni kinyume cha sheria au la!). Naombeni msaada mnielekeze ukiwa Tanzania vinapatikana wapi, iwe kwa kununuliwa au kugawiwa. Mara nyingi huwa naviona siku ya matukio makubwa ya kitaifa kama vile mechi kubwa kubwa au wakati kiongozi wa nje anapokuja Bongo. Naomba nisisitize kuwa nataka vile vidogo dogo vya mezani, si vile ambavyo baadhi ya watu wanavivaa kichwani. Pia viwe ni material ya kitambaa, si karatasi.
Nawasilisha.
 
Waambie Tanzania imeshakufa........bora utafute ya Sudan utapata heshima
 
Dogo kauli zako hazina maslahi kwa taifa!
kwikwikwikwikwi umemsikia Zitto alivyokuwa akitetea maslahi ya taifa?
Try to log into this site
Heritage Books & Music

Ni duka la kaka mmoja wa kitanzania...anauza hizo bendera na a lot of african stuff or you can contact him at 773-262-1566

hii site uliotoa mbona inanipeleka kwenye website ina mapicha ya utupu?
 
kwikwikwikwikwi umemsikia Zitto alivyokuwa akitetea maslahi ya taifa?

Mh Zitto amechemka ile mbaya !! Unajua shida unapopata sifa sana kichwa kiakuwa kikubwa sana na mwili unashindwa kibeba tena hapo alitoa moshi tuu sintomtetea kwa hilo...nadhani ni maslahi ya mfuko wake..
 
Back
Top Bottom