Nijulisheni taratibu na vigezo vya kujiunga na uber

Je waweza kutupatia dokezo kuhusu kiasi ambacho kwa wamiliki walio wengi huitaji kuletewa kwa siku? Ni kati ya TZS ngapi hadi ngapi kwa siku?
Naomba akijibu hii uni TAG na mimi
 
Class D haifai mkuu maana bado ni ndogo sana,jitahidi ukasome HGV upate class E then ukasome PSV pale NIT then ukaongeze C1 C2 na C3 ndio utaruhusiwa kuendesha uber ukishakidhi vigezo.
Nb;vigezo na masharti kuzingatiwa.
Mkuu hayo mafunzo yanachukua mda gani kumaliza?
 
1. Ni gari gani haikutengezwa kiwandani?
 
Je waweza kutupatia dokezo kuhusu kiasi ambacho kwa wamiliki walio wengi huitaji kuletewa kwa siku? Ni kati ya TZS ngapi hadi ngapi kwa siku?
Elfu thelathini kwa siku mwalimu,lakini wengi huwa wanapelekewa shilingi laki mbili kwa wiki,na inakuwa deposited to your bank account for recording purposes.
 
Mkuu hayo mafunzo yanachukua mda gani kumaliza?
It depends waweza chukua hata masaa manne tu,ni simple rules unapewa namna ya kumhandle mteja,amekuja mtu mlevi usiku umempeleka mpaka destination yake amekataa kukulipa,ufanyeje? Ndio wanakufundisha,sehemu za kupark wanakufundisha,jinsi ya kucalculate 25% yao,su mambo ya nyota ukiwa na 5 star unapewa bonus ya 10 litres of petrol or twenty thousand shillings ni wewe utaamua sasa,
 
Class D haifai mkuu maana bado ni ndogo sana,jitahidi ukasome HGV upate class E then ukasome PSV pale NIT then ukaongeze C1 C2 na C3 ndio utaruhusiwa kuendesha uber ukishakidhi vigezo.
Nb;vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mkuu tafadhali, ikiwa nina daraja A, A2, B, D NA E bado siwezi qualify kuendesha Uber na je ikiwa nina uhitaji wa kuwa dereva maombi yana tumwa wapi..?, samahani..,
 
Na ubaya ws trafic wetu hawasaidii kuonesha kosa lipo wapi..kama hujui taratibu kikubwa ni kutoa hela bila kuambiwa kosa lako
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu naomba niulize, uber inafaa gari yenye piston 3??
 
Ajira ni ngumu, wanatokea wazungu wanabuni kitu ambacho kinawakomboa vijana na umasiki, hao mashetani wanyonya damu wa ccm wameshafika na makucha yao kuharibu. Pumbavu kabisa
 
Class D haifai mkuu maana bado ni ndogo sana,jitahidi ukasome HGV upate class E then ukasome PSV pale NIT then ukaongeze C1 C2 na C3 ndio utaruhusiwa kuendesha uber ukishakidhi vigezo.
Nb;vigezo na masharti kuzingatiwa.
Yaani hayo maguvu yote mtu anayotumia ni kwa ajili ya kuwa driver wa taxi tu.
Si bora mtu akalime tu
 
Mkuu nauliza kwa gari kama harrier, rav 4, xtrail inawezekana kuzifanya uber? I mean bei zake ni sawa na gari ndogo au mnacategory za magari maana naonaga gari ndogo tu wakati mi ninamojawapo kati ya hizo nafkiriaga kama pia inaweza kuwa uber. Naomba muongozo kabla sijaja ofisini
 
Ila mkuu tuache utani kula kulia pale ni hatari yaani ni kama kujitoa mhanga sabab hamna taa pale na road ni pana sana mda wote gari za upande mmoja zinaruhusiwa pale kwenye taa za sayansi na si rahisi kuvuka then ukaingia kwenda na zile zinazotoka bamaga. Kiusalama nakubaliana kabisa aisee japo ndio hamna uturn...alternatively kula ile ya vumbi uje kwenye road ya kutokea kijitonyama shule uingie kwenye taa za sayansi ni salama zaidi. Ndio maana ile barabara imekwanguliwa vizuri...na mi ndo njia yangu. Drive safely
 
Harrier,rav 4 au xtrail hazifai kufanya uber
Sababu ni kwamba ulaji wake wa mafuta ni mkubwa,unless other wise uuze ununue gari lenye injini ndogo ambalo ulaji wake wa mafuta ni mdogo pia.
Category za magari hakuna ila ni gari lolote ambalo ujazo wa injini yake hauzidi cc 1290 so kuanzia 1290cc,au 990cc au 650cc yoyote kati ya hapo. Na liwe limetengenezwa kuanzia mwaka 2003 kuja mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…