hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Naomba akijibu hii uni TAG na mimiJe waweza kutupatia dokezo kuhusu kiasi ambacho kwa wamiliki walio wengi huitaji kuletewa kwa siku? Ni kati ya TZS ngapi hadi ngapi kwa siku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba akijibu hii uni TAG na mimiJe waweza kutupatia dokezo kuhusu kiasi ambacho kwa wamiliki walio wengi huitaji kuletewa kwa siku? Ni kati ya TZS ngapi hadi ngapi kwa siku?
Mkuu hayo mafunzo yanachukua mda gani kumaliza?Class D haifai mkuu maana bado ni ndogo sana,jitahidi ukasome HGV upate class E then ukasome PSV pale NIT then ukaongeze C1 C2 na C3 ndio utaruhusiwa kuendesha uber ukishakidhi vigezo.
Nb;vigezo na masharti kuzingatiwa.
1. Ni gari gani haikutengezwa kiwandani?1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.
2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.
3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.
4. Uwe na smartphone.
5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.
6. Ukishakuwa na vigezo vyote hivyo karibu sana ofisini Viva tower kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 alasiri
Elfu thelathini kwa siku mwalimu,lakini wengi huwa wanapelekewa shilingi laki mbili kwa wiki,na inakuwa deposited to your bank account for recording purposes.Je waweza kutupatia dokezo kuhusu kiasi ambacho kwa wamiliki walio wengi huitaji kuletewa kwa siku? Ni kati ya TZS ngapi hadi ngapi kwa siku?
It depends waweza chukua hata masaa manne tu,ni simple rules unapewa namna ya kumhandle mteja,amekuja mtu mlevi usiku umempeleka mpaka destination yake amekataa kukulipa,ufanyeje? Ndio wanakufundisha,sehemu za kupark wanakufundisha,jinsi ya kucalculate 25% yao,su mambo ya nyota ukiwa na 5 star unapewa bonus ya 10 litres of petrol or twenty thousand shillings ni wewe utaamua sasa,Mkuu hayo mafunzo yanachukua mda gani kumaliza?
Mzee acha kuvuta bangi,madhara yake ndio haya sasa!1. Ni gari gani haikutengezwa kiwandani?
Class D haifai mkuu maana bado ni ndogo sana,jitahidi ukasome HGV upate class E then ukasome PSV pale NIT then ukaongeze C1 C2 na C3 ndio utaruhusiwa kuendesha uber ukishakidhi vigezo.
Nb;vigezo na masharti kuzingatiwa.
Na ubaya ws trafic wetu hawasaidii kuonesha kosa lipo wapi..kama hujui taratibu kikubwa ni kutoa hela bila kuambiwa kosa lakoHii serikali nami naishangaa sana. Leo eti ukipita ile njia ya hongera bar kuja kutokea sayansi; ukifika pale sayansi junction hutakiwi kula kulia. Trafki anaacha kuongoza magari anakuvaa! unapigwa cheti. Thanks kwa wasamalia wakanitonya mapema ila nimeshuhudia jamaa anasimamishwa kama jambazi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Taenda nikajiridhishe haya unayoniambia mkuu,lakini mimi kumpa dereva wa Dar es salaam haitakaa itokee,kwanza naamini lazima biashara iyo ile kwangu na kagari kangu kapya katachakaa,bora niendelee kupiga nalo picha,lakini hawa madereva wahuni wa Dar watanipa stress za bure!
Wakuu naomba niulize, uber inafaa gari yenye piston 3??1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.
2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.
3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.
4. Uwe na smartphone.
5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.
6. Ukishakuwa na vigezo vyote hivyo karibu sana ofisini Viva tower kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 alasiri
Hata moja mkuu,ni wewe tuWakuu naomba niulize, uber inafaa gari yenye piston 3??
Unahitajika kule chitchat kuna mashataka yako ...dadeki .. haha dah jf kuna visa sana *****Hata moja mkuu,ni wewe tu
Yaani hayo maguvu yote mtu anayotumia ni kwa ajili ya kuwa driver wa taxi tu.Class D haifai mkuu maana bado ni ndogo sana,jitahidi ukasome HGV upate class E then ukasome PSV pale NIT then ukaongeze C1 C2 na C3 ndio utaruhusiwa kuendesha uber ukishakidhi vigezo.
Nb;vigezo na masharti kuzingatiwa.
Mkuu nauliza kwa gari kama harrier, rav 4, xtrail inawezekana kuzifanya uber? I mean bei zake ni sawa na gari ndogo au mnacategory za magari maana naonaga gari ndogo tu wakati mi ninamojawapo kati ya hizo nafkiriaga kama pia inaweza kuwa uber. Naomba muongozo kabla sijaja ofisini1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.
2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.
3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.
4. Uwe na smartphone.
5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.
6. Ukishakuwa na vigezo vyote hivyo karibu sana ofisini Viva tower kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 alasiri
Ila mkuu tuache utani kula kulia pale ni hatari yaani ni kama kujitoa mhanga sabab hamna taa pale na road ni pana sana mda wote gari za upande mmoja zinaruhusiwa pale kwenye taa za sayansi na si rahisi kuvuka then ukaingia kwenda na zile zinazotoka bamaga. Kiusalama nakubaliana kabisa aisee japo ndio hamna uturn...alternatively kula ile ya vumbi uje kwenye road ya kutokea kijitonyama shule uingie kwenye taa za sayansi ni salama zaidi. Ndio maana ile barabara imekwanguliwa vizuri...na mi ndo njia yangu. Drive safelyHii serikali nami naishangaa sana. Leo eti ukipita ile njia ya hongera bar kuja kutokea sayansi; ukifika pale sayansi junction hutakiwi kula kulia. Trafki anaacha kuongoza magari anakuvaa! unapigwa cheti. Thanks kwa wasamalia wakanitonya mapema ila nimeshuhudia jamaa anasimamishwa kama jambazi!!
Harrier,rav 4 au xtrail hazifai kufanya uberMkuu nauliza kwa gari kama harrier, rav 4, xtrail inawezekana kuzifanya uber? I mean bei zake ni sawa na gari ndogo au mnacategory za magari maana naonaga gari ndogo tu wakati mi ninamojawapo kati ya hizo nafkiriaga kama pia inaweza kuwa uber. Naomba muongozo kabla sijaja ofisini