1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.
2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.
3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.
4. Uwe na smartphone.
5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.
6. Ukishakuwa na vigezo vyote hivyo karibu sana ofisini Viva tower kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 alasiri
Uber XLbos naomba kujua mm nina noah field tour,
naweza nikaifanya uber.
Uber XL
Oopssasa ni ya mwaka 99 nahic, ila mpya kabisa
Uber XL
Aiseepia inaweza kunilipa nikitoa mafuta nibaki na 40.
Km utaitumia mwenyewe itakulipa utakula ,utatoa mafuta na utapata hiyo 40+nambie kaka gar yangu toka ninunue plan zili fail
Nipo na bajaji mpya, ni vigezo gani vinatakiwa niitupie huko?1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.