Nijulisheni taratibu na vigezo vya kujiunga na uber

1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.

2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.

3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.

4. Uwe na smartphone.

5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.

6. Ukishakuwa na vigezo vyote hivyo karibu sana ofisini Viva tower kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 alasiri
 
bos naomba kujua mm nina noah field tour,
naweza nikaifanya uber.
 
nambie kaka gar yangu toka ninunue plan zili fail
 
1.Gari lako liwe limetengenezwa kiwandani kuanzia mwaka 2001,aidha iwe sedan au hatchback itapendeza zaidi,na liwe na uwezo wa kubeba abiria wanne.

2. Utahitajika kubadilisha usajili wa gari lako kutoka kuwa private car hadi commercial car hivyo kadi ya gari lako itabidi ukabadili ikiwa ni pamoja na number plate kuweka nyeupe.

3. Kama utaendesha gari wewe mwenyewe inabidi uwe na driving licence with class A B C1 C2 C3 D na E pamoja na hati ya kipolisi ya tabia njema,"police clearance certificate" inayotolewa makao makuu ya polisi.

4. Uwe na smartphone.

5. Uwe ni mkazi wa jiji la dar.

6. Ukishakuwa na vigezo vyote hivyo karibu sana ofisini Viva tower kila siku za wiki Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 alasiri
Nipo na bajaji mpya, ni vigezo gani vinatakiwa niitupie huko?
 
Back
Top Bottom