OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuna jamaa hapa rangi tatu nikuelekezeNaomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
Nielekeze mkuu. Bei zao zipoje?Kuna jamaa hapa rangi tatu nikuelekeze
Lakini nondo ungeenda kiwandan kule kisemvule ungepat bei nzuri. Bei sijafatilia sana ila najua ile godown watu wenye kesi kubwa kama zako wanaendagaNielekeze mkuu. Bei zao zipoje?
Nondo ukinunua kwa tani (uzito), bei yake huwaga ni moja tu kwa size zote, kinachotofautiana ni idadiNaomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
Tafuta connection kiwanda cha MM steel mikocheni ambapo mwaka jana tani 1 ilikuwa 1,750,000 ila inawezekana kuna cheap zaidi ya hii bei pia please exploreNaomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
Mkuu naona umeamua uanze kujenga ghorofa lako๐๐Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
Mkuu Mungu akipenda 2027 wakazi wa hapa watakuwa wanaelekeza boda "karibu na yule jamaa mwenye ghorofa"Mkuu naona umeamua uanze kujenga ghorofa lako๐๐
Me ka kwangu katakuwa tayari mwakani.Mkuu Mungu akipenda 2027 wakazi wa hapa watakuwa wanaelekeza boda "karibu na yule jamaa mwenye ghorofa"