Nijuze Chimbo la saruji na nondo

Nijuze Chimbo la saruji na nondo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
 
Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
Nondo ukinunua kwa tani (uzito), bei yake huwaga ni moja tu kwa size zote, kinachotofautiana ni idadi

Mfano tani moja ya nondo za milimita 12 unapata pc 94, lakini tani moja hiyo hiyo ya nondo za milimita 16 unapata pc 53
 
Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents.
Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300
Nondo 10mm kwa tani
Nondo 12mm kwa tani
Nondo 16mm kwa tani
Tafuta connection kiwanda cha MM steel mikocheni ambapo mwaka jana tani 1 ilikuwa 1,750,000 ila inawezekana kuna cheap zaidi ya hii bei pia please explore
Kuhusu cement, camel cement walikuwa bei kidogo imepoa ukilinganisha na kampuni zingine.
Kama Fundi wako ni mtafutaji mzuri wa taarifa na yeye anaweza kukupa info za wapi utapata bei nzuri ila lazima ujiridhisge na info utakazopewa yaan still bado chunguza asije kukugeuza fursa

If site ipo Dar uelekeo wa Kigamboni/Mbezi beach tafuta huyu agent anaitwa Lizzy hardware, kwa Kigamboni kuna Ligae Hardware pia wanaweza kukusaidia, kingine sometime if ukipata mwenye hardware mwenye roho nzuri sana anaweza press order yako kwa jina lake pia ukamtoa kidogo maana sometime unakuta agent ana dscount kubwa sana sababu ya kununua mzigo mkubwa over time japo mpaka umpate agent anayeweza kufanya hivi inabidi neema ya Mungu iingie kazini
 
Kiwandani ni ngumu kidogo kuuziwa kama wewe siyo mfanyabiashara au huna connection na watu wa hapo,
Ushauri wangu nenda maduka makubwa mfano Nabaki Africa, Kamaka huko utapata vitu kwa gharama nafuu
Mfano binding wire role wanauza mtaani 85k ukienda Kamaka utapata kwa 50k
 
Back
Top Bottom