Nijuzen wanajamii forum ipi kat ya HKL NA CBB NA VP SOKO LA AJIRA

Rabiel

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
197
Reaction score
40
Wana jamii forum nilikua mnisaidie,mimi katika matokeo yngu nimepata dv three ya point 26 na masomo yote ya art yamebalance,ila katka ya sayans nimepta d ya chemistry bios b na geog c,je nisome comb gan hapo tuit, na kama ni art HKL ninaweza nikapta kzi gan ktka soko la ajra na vtabu vp nisome na kama n cbg nichukue vtabu gan na vp soko la ajra? Msaada wenu tadhali
 

Whats your future dream dictate what your are in by now!!!
 
Whats your future dream dictate what your are in by now!!!

nilikua na dream ya kua mwanasheria na si mwanasheria tu bali pia kuwa na elimu ya information technology na pia laboratory technique kwenye mambo ya nutrition,je niende na ip hapo bkoz zote nazpenda
 

Hakuna combination yenye soko la ajira. Subiri uende chuo ndio uje uulize swali km hilo
 
Ajira ipo soma chochote. Hakikisha unakuwa the best. Wakitafuta mtu mmoja basi atakuwa ni wewe.
 

nilikua na dream ya kua mwanasheria na si mwanasheria tu bali pia kuwa na elimu ya information technology na pia laboratory technique kwenye mambo ya nutrition,je niende na ip hapo bkoz zote nazpenda

Duuuuu hv point 26 ni Div 3?????? i thought its Div 4!!!!!!!
Anyway..........here is the never untold true story of the real life!!!!!

Life is never real you can be best in anything as LONG as you have an interest of becoming best; kama mwanasheria sawa, kama mwana IT sawa, kama lab technician sawa!!!!! Lakini kitu hiki ni muhimu kufikiri nacho ni purchasing power ya maarifa yako uliosotea kwa kipindi ulichosotea. Mfano kama umeamua kuwa lab technician je wenye maabara wataweza kukulipa vema na je wana hela????? km umeamua kuwa mwanasheria hapa kila kitu ni pana wewe mwenyewe tu; unaweza kulala negative ukaamka positive nadhani unanielewa hapa; kama umeamua kuwa mwanaIT wewe mwenyewe tu lakini je huduma yako utamuuzia nani kwa mapana yake , na je wana hela za kukulipa???

MAJIBU YA MASWALI YOTE HAPO NI: NDIO WANA HELA ZA KUKULIPA AS LONG AS UNASTAHILI KULIPWA HELA NZURI; LET YOUR INNER PASSION DRIVE YOU CAREER!!!!! SI AJABU UKASHIKA KITENGO KIKUU CHA IT KWENYE MTANDAO WA GOOGLE, SIONI AJABU!!!!!
 

Siku hizi hatusomi kwa mtazamo wa ajira. Jipime uwezo wako na ukisoma nini utakifurahia zaidi. Ajira kwa level yako ni mapema mno kuanza kufikiri, ila profession unatakiwa kuanza kuijenga tokea unavyoanza form five, wengine walianza hata kabla. Kuhusu ajira ukiweka pamoja na uchaguzi wa combination utapotea njia sasa ivi. HKL CBG PCB, HGK yote ni masomo tu wala hakuna anayeajiriwa zaidi. Labda kama ajira ya ualimu iko kichwani mwako hiyo ipo sana tu, japo mpaka umalize sina uhakika kama bado upungufu utakuwa mkubwa na maslahi yatakuwaje. In short kasome Unachokipenda, utafaulu vizuri na utasonga mbele.
 
ningekuwa wewe ningesoma HKL kwan hiyo D ya chemistry sio nzuri. halafu bado hatujui kama D ni credit.
 
Nashukuru wote kwa ushauri na maoni yenu ambayo kwa upande fulani yamenpa mwanga na mengine yameniacha njia panda,yote kwa yote nashukuru lakn je,binadamu usipoishi kwa malengo ili uweke mikakati ya kuweza kufikia hayo malengo utaweza kweli kufanikiwa?na je wale waliosema tanzania hakuna sylabus ya ajra,hawakuweza kuona kua nilikua na mtiririko wa mawzo kuanzia comb,aina ya vitabu mpka kwenye ajra gan itakua fresh,yote hayo hamkuyaona?na kwa wale walliosema soma ili ufkirie kujiajr je sylabus za tanzania zinamuandaa mtu kuajiriwa au kujiajr?naomben munieleweshe katika hayo
 

asante sana kwa ushaur wako,lakn bado umeniacha njia panda ya kujua kipi n bora,any way naomba unisaidie vitabu ambavyo viko fresh kwa comb zote mbili hkl with cbg
 

i like it"kasome unachokipenda"is not about kufosi ktu ambacho huwez
 
Hakuna combination yenye soko la ajira. Subiri uende chuo ndio uje uulize swali km hilo

naendea huko so sio mbaya nkatengeneza malengo yangu sasa koz bla plan huwez ukatengeneza ktu,unaweza ukawa na hela usijue jins ya kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…