Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ngoja nilicheki,Mkuu nunua battery la Unga la Maxx Batt. liko poa ndio mimi natumia ni tachnology ya Korea.
Boss wabongo wengi wanapenda vitu cheap na low quality mm mwenyewe ni muuzaji wa batteries ila huwa siwashauri watu kuweka hizi battery angalau nzuri ni powelast na atlas tu kwa bongoSpark MF la kifala hilo! Jinsi litakufia hutaamini. Alamanusura linilaze shamba siku moja.
Mkuu ipi ni nzuri zaidi itayokaa mda mrefuBoss wabongo wengi wanapenda vitu cheap na low quality mm mwenyewe ni muuzaji wa batteries ila huwa siwashauri watu kuweka hizi battery angalau nzuri ni powelast na atlas tu kwa bongo
Kama una pesa chukua atlas ukishindwa sana powelast hizi uwezekano wa kuishi miaka 2+ ni uhakika kuliko spark MF huwa zinakufa bila kutoa sign yoyote ileMkuu ipi ni nzuri zaidi itayokaa mda mrefu
Aisee acha tu.. sina hamu nilipata msaada saa 4 usiku tena kibishi bishi sana. Kuja kuingia home ni saa 6 usiku. Nilienda tungua jiwe jipya the next day!Boss wabongo wengi wanapenda vitu cheap na low quality mm mwenyewe ni muuzaji wa batteries ila huwa siwashauri watu kuweka hizi battery angalau nzuri ni powelast na atlas tu kwa bongo
Pole sana mkuuAisee acha tu.. sina hamu nilipata msaada saa 4 usiku tena kibishi bishi sana. Kuja kuingia home ni saa 6 usiku. Nilienda tungua jiwe jipya the next day!
Mwenyewe nimefunga battery ya Korea aisee battery zao ni imara mno, nimefunga tokea 2017 mpaka leo iko poa nakumbuka battery hii ya VOLTEX ilikuja na gari tokea Japan.Mkuu nunua battery la Unga la Maxx Batt. liko poa ndio mimi natumia ni tachnology ya Korea.
Mwenyewe nimefunga battery ya Korea aisee battery zao ni imara mno, nimefunga tokea 2017 mpaka leo iko poa nakumbuka battery hii ya VOLTEX ilikuja na gari tokea Japan.
Nilitafuta hii battery Kariakoo yote nikaja kuifumania pale msimbazi....
Mtoa mada kama anahitaji battery tafuta za KoreaView attachment 1354460
Siku hizi janja janja zimekua nyingi sana utashangaa unaona imeandikwa Korea kumbe jamaa wamezifyatua China tu hapo maana soko la Tanzania kwa asilimia kubwa limetawaliwa na bidhaa za China hivyo sio kila battery inatokea Korea nyingine zimefyatuliwa ChinaMwenyewe nimefunga battery ya Korea aisee battery zao ni imara mno, nimefunga tokea 2017 mpaka leo iko poa nakumbuka battery hii ya VOLTEX ilikuja na gari tokea Japan.
Nilitafuta hii battery Kariakoo yote nikaja kuifumania pale msimbazi....
Mtoa mada kama anahitaji battery tafuta za KoreaView attachment 1354460
Naomba kujua CCA ya battery hii hapa 045MF NSL POWERLAST 003-045L/12Boss wabongo wengi wanapenda vitu cheap na low quality mm mwenyewe ni muuzaji wa batteries ila huwa siwashauri watu kuweka hizi battery angalau nzuri ni powelast na atlas tu kwa bongo