Nijuzeni battery nzuri kwa Toyota Sprinter

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Hello wadau, nimesafiri kimkoa kikazi nimefikia kwa ndugu yangu ana gari tatu na kaniruhusu niwe nazunguka na Sprinter ila kwa bahati mbaya battery yake mbovu.

Naomba mnijuzeni betri nzuri ya Toyota Sprinter na makadirio ya bei.
 
Mkuu nunua battery la Unga la Maxx Batt. liko poa ndio mimi natumia ni tachnology ya Korea.
 
Spark MF la kifala hilo! Jinsi litakufia hutaamini. Alamanusura linilaze shamba siku moja.
Boss wabongo wengi wanapenda vitu cheap na low quality mm mwenyewe ni muuzaji wa batteries ila huwa siwashauri watu kuweka hizi battery angalau nzuri ni powelast na atlas tu kwa bongo
 
Aisee acha tu.. sina hamu nilipata msaada saa 4 usiku tena kibishi bishi sana. Kuja kuingia home ni saa 6 usiku. Nilienda tungua jiwe jipya the next day!
 
Mkuu nunua battery la Unga la Maxx Batt. liko poa ndio mimi natumia ni tachnology ya Korea.
Mwenyewe nimefunga battery ya Korea aisee battery zao ni imara mno, nimefunga tokea 2017 mpaka leo iko poa nakumbuka battery hii ya VOLTEX ilikuja na gari tokea Japan.
Nilitafuta hii battery Kariakoo yote nikaja kuifumania pale msimbazi....

Mtoa mada kama anahitaji battery tafuta za Korea
IMG_20200211_141504.jpg
 
Yeah hilo mkataba mkuu.
Mwenyewe nimefunga battery ya Korea aisee battery zao ni imara mno, nimefunga tokea 2017 mpaka leo iko poa nakumbuka battery hii ya VOLTEX ilikuja na gari tokea Japan.
Nilitafuta hii battery Kariakoo yote nikaja kuifumania pale msimbazi....

Mtoa mada kama anahitaji battery tafuta za KoreaView attachment 1354460
 
Sinaga mahaba na mibetri ya unga au dry cell kabisa,,,huwa inanifia hovyo,,,,mm nabandika li chloride exide langu LA maji nadunda nalo hadi nalichoka naamua tu kulitoa baada ya miaka 2,naliuza 50k then nabandika li chloride exide lingine,,,kwa miaka zaidi ya 6 sasa cjawai kujutia kulitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe nimefunga battery ya Korea aisee battery zao ni imara mno, nimefunga tokea 2017 mpaka leo iko poa nakumbuka battery hii ya VOLTEX ilikuja na gari tokea Japan.
Nilitafuta hii battery Kariakoo yote nikaja kuifumania pale msimbazi....

Mtoa mada kama anahitaji battery tafuta za KoreaView attachment 1354460
Siku hizi janja janja zimekua nyingi sana utashangaa unaona imeandikwa Korea kumbe jamaa wamezifyatua China tu hapo maana soko la Tanzania kwa asilimia kubwa limetawaliwa na bidhaa za China hivyo sio kila battery inatokea Korea nyingine zimefyatuliwa China
 
Boss wabongo wengi wanapenda vitu cheap na low quality mm mwenyewe ni muuzaji wa batteries ila huwa siwashauri watu kuweka hizi battery angalau nzuri ni powelast na atlas tu kwa bongo
Naomba kujua CCA ya battery hii hapa 045MF NSL POWERLAST 003-045L/12
 
Attachments

  • 10072020100010045MFNSLPowerlast.png
    10072020100010045MFNSLPowerlast.png
    321.6 KB · Views: 17
Back
Top Bottom