Baba Kenzo
JF-Expert Member
- Sep 16, 2017
- 224
- 149
Habari wataaluma!
Ni nini Faida pamoja na hasara za kunywa maji ya moto kiafya??
Ni nini Faida pamoja na hasara za kunywa maji ya moto kiafya??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimaanisha ya uvuguvugu mkuu, tofauti na Yale ya chaiKunywa maji ya moto au maji ya uvuguvugu, chura anapenda maji Ila ujue ya moto hanywi Haryana FAIDA zaidi ya kuungua tuu...ya vuguvugu yana faida kweli hasa ukichanganya na asali Ama limao...maji ya moto ni kwa ajili ya kuogea na chai.
Noted mkuuMi nakunywa maji ya uvuguuvugu lita moja asubuhi kabla sijala wala kuswaki na usiku lita moja kabla ya kulala,mara nyengine nachanganya na limao na kijiko kimoja cha asali mbichi.
Faida za maji nilizoziona kwangu ni
1.Kuchangamsha mwili hususan asubuhi,nikinywa huwa inaondoa kabisa ule uchovu wa asubuhi pamoja na usingizi
2.Ina lainisha choo
3.Inasaidia kusafisha tumbo
4.Kupunguza mafuta mwilini
5.Inasaidia mmengenyo wa chakula.
6.Kutibu mafua na kifua,kuumwa kichwa etc
Kwa kifupi maji ni dawa kubwa kuliko dawa nyengine zote.jitahidi kunywa walau lita mbili au zaidi kwa siku.Pendelea kunywa maji ya uvuguuvugu,maji ya baridi sio mazuri kiafya.