Nijuzeni hili swali la Kisayansi

Nijuzeni hili swali la Kisayansi

Ile ilikuwa vita baridi tu kati ya marekani Na urusi hivo ilipelekea marekani kufake moon landing na mkanda mzima ulichezewa area 51 huko nevada sehemu hii ni siri na haipo ktk ramani ya dunia kuna majaribio kibao ya kiscience hufanyika huko, halafu evidence zipo kama utatazama video ya neil Armstrong akiwa mwezini na ukawa na ideas za astrophysics basi hutahitaji maelezeo kugundua hii ni fake trip swali dogo hivi tangu 1969 mpaka leo kwanini husikii safari ya mwezini au jamaa kurudkurudi tena ile hali tech imekuwa , Nasa wana trip ya Mars 2030

unanishawishi na maelezo yako, ila nasa walipeleka curiosity mwaka 2012
 
Duu kuna vichwa vinajua mambo humu, mpaka najilaumu kwa nini nilisoma historia
 
Hivi unapotoka nje ya dunia unapitia wapi?, kuna sehemu maalum ambayo ipo kama mlango ambapo vifaa vyote hupata ? ,kama ndiyo hivyo hiyo sehemu ipo wapi tanzania, marekani, uk au.
 
Hivi unapotoka nje ya dunia unapitia wapi?, kuna sehemu maalum ambayo ipo kama mlango ambapo vifaa vyote hupata ? ,kama ndiyo hivyo hiyo sehemu ipo wapi tanzania, marekani, uk au.
Mkuu Anga la dunia yani atmosphere lina tabaka la ozone layer kumbuka sisi tupo ktk uso wa dunia hivo unapoona nyota au mwezi ujue vipo nje yetu sasa hakuna njia yoyote maalum ya kutokea kwa vile wote tupo ktk uso wa dunia nikimaanisha kila mtu anaona anga za mbali ivo kila mtu anaweza kurusha chombo popote na kikatoka nje ya dunia kama kitapata escaping velocity ukishatoka ni calculations za gravity na velocity tu kujua unataka ukatue wapi
 
kwel kabisa, hata jana nilikua nafatilia hizo asteroid calculation ni hesabu moja ngumu kidogo, wanapotaget kwendaw anatumia distance ya PARALLAX yaan paralax distance, sasa wakishajua hiyo, ni mwendo wa kucheza na velocity sasa, kabla ya hapo chombo hua kina magnetic wave(light) ambapo hutangulia kwa spidi ya 300,000km per sec ili kudetect object itayozuia chombo mbele na kuikwepA
 
Yeah mkuu mambo ya Doppler shift yanahusika pia kiukweli ni field nyingi zinahusika kufanikisha
 
Swali lingine dogo. Je ivyo vyombo viendavyo kwenye sayari hutumia aina gan ya mafuta eg. Diesel au petrol. Maana nasikia chombo kinakaa hata miaka miwil au mitatu angani. Je wanaenda na mapipa ya mafuta?
 
Mkuu ni nuclear power ndo inatumika sambamba na Solar power yani vyombo vinakuwa na Solar panels zinazo chukua nguvu ya jua na kuibadilisha kuwa umeme kwa ajili ya kuendesha electronics circuits
 
Nashukuru kwa kunifahamisha.
Mkuu Bonesmen. Lakini ninabakiwa na maswali meeengi hasa pale wanapo sema kadri unavyozidi kuiacha dunia kwenda sayar zilizopo mbali na jua ndio unavyozid kupiteza nguvh ya jua (loss of solar energy) sasa izo solar power zinafanyaje kazi wakati hakuna jua la kutosha?
 
Mkuu ukitoka nje ya dunia kuna maeneo jua litakuwa kali sana kwa vile hapa duniani tunatabaka linaitwa ozone ndo linatulinda na mionzi mikali ya jua kama gamma rays sasa kwa sayari kama mars ni wazi kiwango cha jua ni kikubwa mana hakuna hii layer labda kwa sayari za mbali kama neptune ndio nguvu ya jua ni ndogo ila inafika halafu ukiacha chanzo cha jua letu nje ya dunia kuna nyoto zingine pia ambazo ni majua na yana supply energy ktk space, siunajua pia mwezi hautoi mwanga binafsi yani sio luminous body
 
Mkuu ni nuclear power ndo inatumika sambamba na Solar power yani vyombo vinakuwa na Solar panels zinazo chukua nguvu ya jua na kuibadilisha kuwa umeme kwa ajili ya kuendesha electronics circuits

Sitaki kuchangia uzi huu ila mkuu hapa AM SORRY HILI NI TANGO PORI.
 
Sitaki kuchangia uzi huu ila mkuu hapa AM SORRY HILI NI TANGO PORI.
Kiongozi sasa si ndo unarekebisha kama panakosa unaleta na supportive proof, mana hii ni forum ya kujifunza hakuna anaejua kila kitu sasa kama ulewa wangu unaupinga unaleta wako ambao unahisi uko accurate na wana forum wataujadili na kuona je ni sahihi au
Tazama hii sketch
94bfaca96af5cdf9021a60ce9f5a8d12.jpg
Hii ni nuclear thermal rocket
 
Akhasante!

labda mimi sikumuelewa Muuliza swali.

1. Nilijua ameuliza technologia gani inatmika kwa sasa
kama swali lilikuw ani hivi ili lako jibu ni TANGO

2. Nuclear Thermal Rocket
Haitumiki na wala haijawahi kutumika popote duniani kupelkea chombo au hata watu.
I dea imekuwapo miaka mingi tokea miaka ya 60, ila kwasasa ndio NASA wapo kwenye majaribio wakitegeme aikifanikiw andio waitumie kwenda mars.
 
A nuclear thermal rocket is a proposed spacecraft propulsion technology. In a nuclear thermal rocket a working fluid, usually liquid hydrogen, is heated to a high temperature in a nuclear reactor, and then expands through a rocket nozzle to create thrust. In this kind of thermal rocket, the nuclear reactor's energy replaces the chemical energy of the propellant's reactive chemicals in a chemical rocket. The thermal heater / inert propellant paradigm as opposed to the reactive propellants of chemical rockets turns out to produce a superior effective exhaust velocity, and therefore a superior propulsive efficiency, with specific impulses on the order of twice that of chemical engines. The overall gross lift-off mass of a nuclear rocket is about half that of a chemical rocket, and hence when used as an upper stage it roughly doubles or triples the payload carried to orbit.[citation needed]

A nuclear engine was considered for some time as a replacement for the J-2 used on the S-II and S-IVB stages on the Saturn V and Saturn I rockets. Originally "drop-in" replacements were considered for higher performance, but a larger replacement for the S-IVB stage was later studied for missions to Mars and other high-load profiles, known as the S-N. Nuclear thermal space "tugs" were planned as part of[clarification needed] the Space Transportation System to take payloads from a propellant depot in Low Earth Orbit to higher orbits, the Moon, and other planets. Robert Bussard proposed the single stage to orbit "Aspen" vehicle using a nuclear thermal rocket for propulsion and liquid hydrogen propellant for partial shielding against neutron back scattering in the lower atmosphere.[1] The Soviet Union studied nuclear engines for their own moon rockets, notably upper stages of the N-1, although they never entered an extensive testing program like the one the U.S. conducted throughout the 1960s at the Nevada Test Site. Despite many successful firings, American nuclear rockets did not fly before the space raceended.

To date, no nuclear thermal rocket has flown, although the NERVA NRX/EST and NRX/XE were built and tested with flight design components. The highly successful U.S. Project Rover which ran from 1955 through 1972 accumulated over 17 hours of run time. The NERVA NRX/XE, judged by SNPO to be the last "technology development" reactor necessary before proceeding to flight prototypes, accumulated over 2 hours of run time, including 28 minutes at full power.[2]The Russian nuclear thermal rocket RD-0410 was also claimed by the Soviets to have gone through a series of tests at the nuclear test site nearSemipalatinsk.[3][4]

The United States tested twenty different sizes and designs during Project Rover and NASA's NERVA program from 1959 through 1972 at the Nevada Test Site, designated Kiwi, Phoebus, NRX/EST, NRX/XE, Pewee, Pewee 2 and the Nuclear Furnace, with progressively higher power densities culminating in the Pewee(1970) and Pewee 2.[2] Tests of the improved Pewee 2 design were cancelled in 1970 in favor of the lower-cost Nuclear Furnace (NF-1), and the U.S. nuclear rocket program officially ended in spring of 1973. Current (2010) 110 kN (25,000 lbf) reference designs (NERVA-Derivative Rockets, or NDRs) are based on the Pewee, and have specific impulses of 925 seconds.[citation needed]
 
Akhasante!

labda mimi sikumuelewa Muuliza swali.

1. Nilijua ameuliza technologia gani inatmika kwa sasa
kama swali lilikuw ani hivi ili lako jibu ni TANGO

2. Nuclear Thermal Rocket
Haitumiki na wala haijawahi kutumika popote duniani kupelkea chombo au hata watu.
I dea imekuwapo miaka mingi tokea miaka ya 60, ila kwasasa ndio NASA wapo kwenye majaribio wakitegeme aikifanikiw andio waitumie kwenda mars.
Nuclear thermal rocket zimeshafanyiwa research za kutosha na itabeba wanasayansi kupeleka mars 2030,
Mkuu Ukiachana na nuclear thermal rocket je hizi robotics zilizopo let say Mars au planet zinapata wapi nishati ya umeme kuendesha transponders kama sio ktk nuclear na solar panels?
 
mimi sitaki kuchangia kuhusu nishat ya kutumia.vyombo ngoja nipitie.vtabu usiku nitakuja.na.majibu

ila kwa curiosity.iliyotumwa mass ina solar panel.za.kuzalisha.energy kutoka.kwenye jua
 
Nuclear thermal rocket zimeshafanyiwa research za kutosha na itabeba wanasayansi kupeleka mars 2030,
Mkuu Ukiachana na nuclear thermal rocket je hizi robotics zilizopo let say Mars au planet zinapata wapi nishati ya umeme kuendesha transponders kama sio ktk nuclear na solar panels?

So far no NUCLEAR technology has been used on Space missions.

Solar its True and they have batteries to store power.
 
So far no NUCLEAR technology has been used on Space missions.

Solar its True and they have batteries to store power.
Nuclear power in space is the use ofnuclear powerinouter space, typically either small fission systems or radioactive decay for electricity or heat. Another use is for scientific observation, as in aMössbauer spectrometer. One common type is aradioisotope thermoelectric generator, which has been used on many space probes and on manned lunar missions, and another is small fission reactors for Earth observation satellites such as theTOPAZ nuclear reactor.[1]Aradioisotope heater unitprovides heat from radioactive decay of a material and can potentially produce heat for decades. source Wikipedia
 
mkuu asante sana SANA, sasa mbona tunaambiwa kuna wanadam washafika mwenzin wakaweka hadi bendera zao

Mkuu unaweza kunisaidia ukweli kuhusu Gliese 581g hii sayari wanadai inafanana sana na dunia na ina kila dalili za ku support life. Je ni kweli nipe ilmu?
 
Back
Top Bottom