Nijuzeni jinsi ya kutengeneza tui la nazi bila kutumia kibao cha nazi(mbuzi)

Nijuzeni jinsi ya kutengeneza tui la nazi bila kutumia kibao cha nazi(mbuzi)

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,963
Reaction score
3,685
Nimechoka kulishwa nazi na Bakhresa za kiwandani. Nataka nazi original toka shamba mnazini. Tatizo lipo ktk ukunaji wa iyo nazi ili kupata tui.

Vipi naweza kutumia utaalam na kifaa gani ilikupata tui la nazi. Nijuze kifaa tofautina ito mbuzi nipo kidigital zaidi nataka umeme ndio ufanye hiyo kazi
 
Back
Top Bottom