Jacque Jaqueline
Member
- Jan 13, 2018
- 5
- 1
Naomba mnieleweshe kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (value added tax) na inavyofanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kodi ambayo ana ilipa final consumer utake usitake utailipa tu.. Bila wewe kuji juwa.. Wajuzi wata kuja kuongeza na kuni kosoa pale nilipo koseaNaomba mnieleweshe kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (value added tax) na inavyofanya kazi
KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) ni kodi anayolipa mlaji/mtu wa mwisho katika kununua bidhaa au kulipia huduma ambazo zinakubalika kulipia kodi hiiNaomba mnieleweshe kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (value added tax) na inavyofanya kazi