Nijuzeni kuhusu mapishi ya mbaazi

Nijuzeni kuhusu mapishi ya mbaazi

rasai

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
230
Reaction score
341
habari,
je mbaazi zaeza pikwa bila nazi? pliz naomba kujua namna nyengine ya kuzipika
 
Unaweza kupika bila nazi kama wahitaji ladha tofauti...

Ila raha ya mbaazi itiwe nazi
 
Mbaazi tamu ukiunga na nazi. Pia waweza pika mbaazi kwa kuchanganya na nyama.
 
unaweza pika bila nazi kwa kukaanga kitunguu na nyanya ila haziwi tamu kama za nazi..
 
Mbaazi tamu ukiunga na nazi. Pia waweza pika mbaazi kwa kuchanganya na nyama.

mwenzangu, hii ya kuchanganyia nyama ngoja nijaribu, nahisi ztapendeza. asante
 
Back
Top Bottom