Nijuzeni - madhara ya Maziwa (Milk)

Nijuzeni - madhara ya Maziwa (Milk)

mudushi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
151
Reaction score
86
WanaJF naomba kujua madhara ya kunywa/kutumia maziwa ni yapi haswaaa.

Asanteni - mudushi
 
Hayana madhara isipokuwa kama una lactos intolorance uta jaa hewa tumboni na kuharisha.
 
Back
Top Bottom