Nijuzeni tabia za wacongo

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,367
Jamani naombeni msaada wenu kwa niaba ya rafiki yangu. Kajiopolea mchumba au niseme boyfriend wa kutoka Congo ila tabia zao hazieleweki eleweki,wanagombana Kila kukicha. Yaani yuko mguu mmoja nje mmoja ndani.
Binafsi nimekua nao kwa mda mfupi nimejifunza machache anaewafahamu zaidi Mila zao na desturi afunguke hapa.
 
Kwanza wanapenda sana kujichubua asee kama wanawake.Yana watashindana kukaa kwenye dressing table.Ikibidi itanunuliwa nyingine.Pili ni watu wa kudekadeka sana na wengi ni mariooo.Tatu wana vumbi lao lile asee masaa sita mtu anampumulia demu,na visichana vya TZ mashauzi kibao bao moja hoi ataweza kweli kummudu mkongo?!!!
 
Mimi mutoto ya Joseph Kabila murais..mubaba yangu ana mapesa mengi..

Nitakupa mupenzi motomoto[emoji23] [emoji23]

Wacongo bana full fix[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Wacongo hadi wanaume huwa na dressing table zao kwaajili ya kuwekea vipodozi, kwahiyo kwauhakika chumbani kutakuwa na madressing table mawili, yani mke na mume wakiamka asubuhi kila mtu anawahi kwenye dressing table lake kwaajili ya kujipodoa...
 
Wacongo hadi wanaume huwa na dressing table zao kwaajili ya kuwekea vipodozi, kwahiyo kwauhakika chumbani kutakuwa na madressing table mawili, yani mke na mume wakiamka asubuhi kila mtu anawahi kwenye dressing table lake kwaajili ya kujipodoa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Na kujipulizia pafyumu kumi kwa mkupuo!
 
Mm mwenyeww ni narafiki wskikongo, ila ni mwanaume
 
Wanagombana sababu weng ni marioo,na ni nchi wanamaumbile makubwa,,ukichanganya na vumbi ha ha ha utatamani vibamia mnavyovikandiaga hapa
 
Minajua hua hawanenepi kwa kuelemewa na ZIGO.....[emoji13] [emoji13]
Inasemekena hayo MADUDE yana wakondesha miili hadi inakua kama wananyonywa damu......[emoji23] [emoji23]
Mengine misjui....
 
wanatakaga uraia wa tanzania kwa kujidai wameoa hao!
 

Congo kubwa na ina makabila mengi sana ambayo yana mila na desturi tofauti, huyo mchumbayo anatokea Congo hipi? Ana elimu yoyote au ni mtu wa sanaa kama mpiga mziki au kucheza mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…