shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Jamani naombeni msaada wenu kwa niaba ya rafiki yangu. Kajiopolea mchumba au niseme boyfriend wa kutoka Congo ila tabia zao hazieleweki eleweki,wanagombana Kila kukicha. Yaani yuko mguu mmoja nje mmoja ndani.
Binafsi nimekua nao kwa mda mfupi nimejifunza machache anaewafahamu zaidi Mila zao na desturi afunguke hapa.
Binafsi nimekua nao kwa mda mfupi nimejifunza machache anaewafahamu zaidi Mila zao na desturi afunguke hapa.