Nijuzeni tabia za wacongo

Nijuzeni tabia za wacongo

Minajua hua hawanenepi kwa kuelemewa na ZIGO.....[emoji13] [emoji13]
Inasemekena hayo MADUDE yana wakondesha miili hadi inakua kama wananyonywa damu......[emoji23] [emoji23]
Mengine misjui....
Zigo gani hilo ushimen jaman
 
•Wakongo wapo radhi asile ila avae vizur
•Wanajichumbua wengi wao
•Wanapenda maisha ya hali ya juu
 
Kwanza wanapenda sana kujichubua asee kama wanawake.Yana watashindana kukaa kwenye dressing table.Ikibidi itanunuliwa nyingine.Pili ni watu wa kudekadeka sana na wengi ni mariooo.Tatu wana vumbi lao lile asee masaa sita mtu anampumulia demu,na visichana vya TZ mashauzi kibao bao moja hoi ataweza kweli kummudu mkongo?!!!
Kujichubua hata wanaume aisee
 
Minajua hua hawanenepi kwa kuelemewa na ZIGO.....[emoji13] [emoji13]
Inasemekena hayo MADUDE yana wakondesha miili hadi inakua kama wananyonywa damu......[emoji23] [emoji23]
Mengine misjui....
Eti zigo dah
 
Congo kubwa na ina makabila mengi sana ambayo yana mila na desturi tofauti, huyo mchumbayo anatokea Congo hipi? Ana elimu yoyote au ni mtu wa sanaa kama mpiga mziki au kucheza mpira?
Sio mchumba wa mtu ni boyfriend wa rafiki yangu
 
Zigo ni Nini? Dushelele au
Hogo la jang'ombe....[emoji13] [emoji13]
Haya majoka ya kibisa yanawanyima miili kabisa hawa jamaa.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani wamejaaliwa hadi misude inawanyonya dam....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahaha balaa lol
 
Wanapenda kujisifia Sana'a, Ni mariooo pia wanapenda urembo Sana hasa wanaume
 
Back
Top Bottom