Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 15, 2013 #1 Hizi tungo naona kama tafsiri yake ni tata,,nimejaribu kubukua napata vitu vya ajabu...nisaidieni 1;Lila na Fila havitangamani 2;Utamu wa shokishoki ladha yake nyama tupu
Hizi tungo naona kama tafsiri yake ni tata,,nimejaribu kubukua napata vitu vya ajabu...nisaidieni 1;Lila na Fila havitangamani 2;Utamu wa shokishoki ladha yake nyama tupu
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Nov 15, 2013 #2 Ngoja wajuz waje
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,003 Reaction score 617 Nov 15, 2013 #3 utata upi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 15, 2013 Thread starter #4 concious mind said: utata upi? Click to expand... Tafsiri yake ninini...!?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Nov 15, 2013 #5 mshana jr said: Tafsiri yake ninini...!? Click to expand... Good and evil will never mix...
omary mwene JF-Expert Member Joined Nov 6, 2013 Posts 293 Reaction score 55 Nov 15, 2013 #6 mmmmmh mi mgeni....!?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Nov 15, 2013 #7 omary mwene said: mmmmmh mi mgeni....!? Click to expand... Karibu mgeni watumia kinywaji gani?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 15, 2013 Thread starter #8 farkhina said: Karibu mgeni watumia kinywaji gani? Click to expand... Wageni wasio na mwaliko hao mpatie ile kitu ya A town na kangara lita moja atoe lock
farkhina said: Karibu mgeni watumia kinywaji gani? Click to expand... Wageni wasio na mwaliko hao mpatie ile kitu ya A town na kangara lita moja atoe lock
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Nov 16, 2013 #9 farkhina said: Karibu mgeni watumia kinywaji gani? Click to expand... Japo sio mimi nimeulizwa, unaweza kunipatia gin na tonic tafadhali farkhina Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
farkhina said: Karibu mgeni watumia kinywaji gani? Click to expand... Japo sio mimi nimeulizwa, unaweza kunipatia gin na tonic tafadhali farkhina
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Nov 16, 2013 #10 Hivi hatujakatazwa kunywa kwa watu? Kaizer said: Japo sio mimi nimeulizwa, unaweza kunipatia gin na tonic tafadhali farkhina Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hivi hatujakatazwa kunywa kwa watu? Kaizer said: Japo sio mimi nimeulizwa, unaweza kunipatia gin na tonic tafadhali farkhina Click to expand...
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,003 Reaction score 617 Nov 16, 2013 #11 King'asti said: Hivi hatujakatazwa kunywa kwa watu? Click to expand... Alikatazwa kula tu kunywa ruksa
King'asti said: Hivi hatujakatazwa kunywa kwa watu? Click to expand... Alikatazwa kula tu kunywa ruksa
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Nov 16, 2013 #12 Ndio lugha yetu ....
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Nov 17, 2013 #13 King'asti said: Hivi hatujakatazwa kunywa kwa watu? Click to expand... hapana King'asti, tumekatazwa kula tu CC farkhina hebu do ze nidiful Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
King'asti said: Hivi hatujakatazwa kunywa kwa watu? Click to expand... hapana King'asti, tumekatazwa kula tu CC farkhina hebu do ze nidiful
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,324 Reaction score 17,846 Nov 17, 2013 #14 concious mind said: Alikatazwa kula tu kunywa ruksa Click to expand... asee umejuaje!
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Nov 17, 2013 #15 mshana jr said: Wageni wasio na mwaliko hao mpatie ile kitu ya A town na kangara lita moja atoe lock Click to expand... mimi najitolea chupa moja ya banana..karibu mgeni
mshana jr said: Wageni wasio na mwaliko hao mpatie ile kitu ya A town na kangara lita moja atoe lock Click to expand... mimi najitolea chupa moja ya banana..karibu mgeni
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,328 Reaction score 23,909 Nov 17, 2013 #16 farkhina said: Good and evil will never mix... Click to expand... Duh nmemisi mashokishoki...!!!
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Nov 17, 2013 #17 Mwalimu Bujibuji na mwenzie saudari waliwakuta chocho majuzi wakiwaandikia majibu wanafunzi wao wakipitia nokia tochi akipita hapa watatuwekea hayo majibu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwalimu Bujibuji na mwenzie saudari waliwakuta chocho majuzi wakiwaandikia majibu wanafunzi wao wakipitia nokia tochi akipita hapa watatuwekea hayo majibu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 17, 2013 Thread starter #18 Jawilat said: mimi najitolea chupa moja ya banana..karibu mgeni Click to expand... Du acha kabisa hiyo makitu..!banana wine...!!!? Afadhali gongo kuliko hiyo
Jawilat said: mimi najitolea chupa moja ya banana..karibu mgeni Click to expand... Du acha kabisa hiyo makitu..!banana wine...!!!? Afadhali gongo kuliko hiyo
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 May 28, 2017 #19 tumetoka nje ya mada
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,979 May 30, 2017 #20 Lila na fila havitangamani Ukweli na uongo hawakai pamoja.