Nijuzeni tasavali

Nijuzeni tasavali

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hizi tungo naona kama tafsiri yake ni tata,,nimejaribu kubukua napata vitu vya ajabu...nisaidieni
1;Lila na Fila havitangamani

2;Utamu wa shokishoki ladha yake nyama tupu
 
Mwalimu Bujibuji na mwenzie saudari waliwakuta chocho majuzi wakiwaandikia majibu wanafunzi wao wakipitia nokia tochi akipita hapa watatuwekea hayo majibu.
 
Last edited by a moderator:
Lila na fila havitangamani Ukweli na uongo hawakai pamoja.
 
Back
Top Bottom