Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Suluhisho akate yeye mwenye bila kutegemea makato kutoka mishara ya mwanamkeKama mada inavyojieleza
Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga
Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.
Mchango wenu tafadhali
Akitoa kitu kidogo inafungwa hata kwa kughushi cheti cha kifo!Huyo mwanamke anamtisha tu.
Hana uwezo wa kuifunga bila kupeleka bima hukumu iliyotoa divorce ya mahakama
Akitoa kitu kidogo inafungwa hata kwa kughushi cheti cha kifo!
Hapo mwamba hana ujanja, hawezi kuzuia huo mchakato.Kama mada inavyojieleza
Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga
Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.
Mchango wenu tafadhali
Bima ni ipo kisheria, as long as ana cheti cha ndoa , huyo mama hawezi kuzuia jamaa asitumie bima labda ampe talakaKama mada inavyojieleza
Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga
Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.
Mchango wenu tafadhali
Sio tu kughushi ukipeleka tu barua inafungwa kwan Bima wanalazimisha mtu awepo asipokuwepo huyo mume makato ni Yale Yale kama mshahara wako unakatwa 10% basi haijalisshi mnatibiwa wangap ila msizid 6...Akitoa kitu kidogo inafungwa hata kwa kughushi cheti cha kifo!
Hamna kitu anatoka vizuri kabisa Ata kwa kusingizia amekatq Bima ya kampuni nyinginezo mana yeye ndo aliandika na yeye anamtoa Bima haipungukiwi na kitu mkuuBima ni ipo kisheria, as long as ana cheti cha ndoa , huyo mama hawezi kuzuia jamaa asitumie bima labda ampe talaka
Wewe hujui chochote. Bima ya NHIF wanakata 3% ya mshahara na mwajiri anakulipia 3% jumla 6% na sio 10% uliyosema na sijui umeitoa wapi.Sio tu kughushi ukipeleka tu barua inafungwa kwan Bima wanalazimisha mtu awepo asipokuwepo huyo mume makato ni Yale Yale kama mshahara wako unakatwa 10% basi haijalisshi mnatibiwa wangap ila msizid 6...