Nijuzeni vidonge vya kuongeza testosterone

Nijuzeni vidonge vya kuongeza testosterone

Unaweza fanya mazoezi
Au unaweza tumia Dawa za uzazi wa mpango(OCPs) kama Flex P


Ila ni vyema ungetafuta kwanza chanzo cha kujua kinachosababisha wewe kuwa na hiyo hormone kwa wingi.
Nahitaj kubeba mimba so flex p sitaweza
 
Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,
mkuu soma tena ulichoandika maana sidhani kama uko sahihi kulingana na hitaji la mleta mada
 
Back
Top Bottom