Omary idd Member Joined Sep 5, 2017 Posts 65 Reaction score 13 Nov 10, 2017 #1 Neno demu linapotumiwa kama. MTU wa jinsia ya kike ni sawa ama?????
el_magnefico JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 495 Reaction score 575 Nov 15, 2017 #2 Kuhusu kuwa sawa au sio sawa inategemea na muono wa jamii ya watumiaji wa lugha husika maneno kama hayo huwa kama misimu na hatimaye kutumika kwa jamii ya lugha hiyo. (Zingatia na mtumiaji huyo ni wa aina gani)
Kuhusu kuwa sawa au sio sawa inategemea na muono wa jamii ya watumiaji wa lugha husika maneno kama hayo huwa kama misimu na hatimaye kutumika kwa jamii ya lugha hiyo. (Zingatia na mtumiaji huyo ni wa aina gani)