Nijuzeni

Nijuzeni

Omary idd

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
65
Reaction score
13
Neno demu linapotumiwa kama. MTU wa jinsia ya kike ni sawa ama?????
 
Kuhusu kuwa sawa au sio sawa inategemea na muono wa jamii ya watumiaji wa lugha husika maneno kama hayo huwa kama misimu na hatimaye kutumika kwa jamii ya lugha hiyo. (Zingatia na mtumiaji huyo ni wa aina gani)
 
Back
Top Bottom