Nikachomoa kisha Nikachomeka Nikaichomoa Nikaichomeka tena

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Ilinichukua muda sana kugundua shida nini ila kila nikichomeka nikawa nakosa kabisa ushirikiano naamua kuichomoa tena nasubiria kidogo kisha nikawa najaribu kuichomeka tena nione km itakubari kuingia vizuri.

Sasa naona imekubari kuingia vizuri na inapitisha yaan inasoma chaji inaingia.

Nilikua najaribu kuchomeka chaji wakuu.
Sasa naona Imekubari. Inaingiza moto na kuupeleka vizuri.
Ni hivyo tu. Km una swali lolote unaruhusiwa kuuliza. Sipo bar. Hilo swali usiulize. Hamchelewi kusema ondoka hapo bar nenda ukalale umeshalewa. Haina madhara.
Ndio naitumia hapa. Naichaji na inaingia vizuri tu bila wasiwasi. Sijalewa. Sijaelewa. Usiseme nimekunywa. Sijanywa. Sijalewa.

Ni hivyotu!
 
Hata walevi hawapendi kuitwa walevi ni basi tu
 
Back
Top Bottom