AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kwanini mkuu? Lazima ikombolewe makombolelo yoboHii nchi tutaikomboa kweli?
Mkuu tafadhari sana. Sijalewa.Hujalewa ndiyo ila me nakushauri hiyo chupa iwe ya mwisho usiongeze nyengine
Nani kasema umelewa mkuu ?wewe hujalewa ila ikiisha hiyo glass usimimine nyengineMkuu tafadhari sana. Sijalewa.
Haina madhara mkuu. Sijalewa.Nani kasema umelewa mkuu ?wewe hujalewa ila ikiisha hiyo glass usimimine nyengine
Ni ushauri tu
Kwani leo una malengo ya Kulewa au ?ety mkuu.Haina madhara mkuu. Sijalewa.
Kwanini mkuu? Lazima ikombolewe makombolelo yobo
Daah kwa aina hii ya vijana sioni dalili ya kukomboa nchi kwakweli πHii nchi tutaikomboa kweli?
But I just can't QuitHuwa na comment mara Moja tu kwa wendawazimu kama wewe, uwe na usiku mwema ndugu!
Mkuu umeielewa mada kwani au hujalewa nianze kukulewesha upya?Daah kwa aina hii ya vijana sioni dalili ya kukomboa nchi kwakweli π
Nimeelewa mkuu,Mkuu umeielewa mada kwani au hujalewa nianze kukulewesha upya?
Naam mkuu. Chaja inasumbua kuingiza moto. Sasa inapeleka moto.Nimeelewa mkuu,
Mada ni chaja yako inasumbua. π
Hapana sio utoto ukubwa raha sana. Rudisha hio simu kwa mwenyewe acha kuchezea simu za wakubwa na sahizi ulitakiwa uwe umelala kesho shule.Utoto raha sana
Wewe umeshachomekewa mara ngapi mkuu?Siku nyingine acha wakuchomekee
Hata walevi hawapendi kuitwa walevi ni basi tuIlinichukua muda sana kugundua shida nini ila kila nikichomeka nikawa nakosa kabisa ushirikiano naamua kuichomoa tena nasubiria kidogo kisha nikawa najaribu kuichomeka tena nione km itakubari kuingia vizuri.
Sasa naona imekubari kuingia vizuri na inapitisha yaan inasoma chaji inaingia.
Nilikua najaribu kuchomeka chaji wakuu.
Sasa naona Imekubari. Inaingiza moto na kuupeleka vizuri.
Ni hivyo tu. Km una swali lolote unaruhusiwa kuuliza. Sipo bar. Hilo swali usiulize. Hamchelewi kusema ondoka hapo bar nenda ukalale umeshalewa. Haina madhara.
Ndio naitumia hapa. Naichaji na inaingia vizuri tu bila wasiwasi. Sijalewa. Sijaelewa. Usiseme nimekunywa. Sijanywa. Sijalewa.
Ni hivyotu!