Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,613 Reaction score 56,787 Feb 27, 2026 #21 Harmful said: Hujalewa ndiyo ila me nakushauri hiyo chupa iwe ya mwisho usiongeze nyengine Click to expand... Ubaya wa pombe ukiwa unakunywa umekaa tu huwezi jua umelewa kiasi gani ukitembea hata hatua 10 ndo utajua kumbe nipo chakari kitambo sana.
Harmful said: Hujalewa ndiyo ila me nakushauri hiyo chupa iwe ya mwisho usiongeze nyengine Click to expand... Ubaya wa pombe ukiwa unakunywa umekaa tu huwezi jua umelewa kiasi gani ukitembea hata hatua 10 ndo utajua kumbe nipo chakari kitambo sana.
K KERATO MOMBAA JF-Expert Member Joined Feb 4, 2025 Posts 4,602 Reaction score 6,274 Feb 27, 2026 #22 Basi ukiwa kanisani ukaona mpiga kinanda au gitaa anaacha kupiga anaenda kutoa sadaka, basi ondoka uende nyumbani maana chakula cha bwana kimetosha
Basi ukiwa kanisani ukaona mpiga kinanda au gitaa anaacha kupiga anaenda kutoa sadaka, basi ondoka uende nyumbani maana chakula cha bwana kimetosha
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,985 Reaction score 21,212 Feb 27, 2026 #23 Mpaji Mungu said: Ubaya wa pombe ukiwa unakunywa umekaa tu huwezi jua umelewa kiasi gani ukitembea hata hatua 10 ndo utajua kumbe nipo chakari kitambo sana. Click to expand... Ndiyo kilichomkuta mtoa mada 😅
Mpaji Mungu said: Ubaya wa pombe ukiwa unakunywa umekaa tu huwezi jua umelewa kiasi gani ukitembea hata hatua 10 ndo utajua kumbe nipo chakari kitambo sana. Click to expand... Ndiyo kilichomkuta mtoa mada 😅