happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,392
hiihahaha, we mabom yako huwa unaficha wapi?....nahisi bwana wako naye ana shida aisee....Huyo mwanamke naye aliharibu, Atafichaje mabomu chumbani!
nimejifunza kitu haswaaaaaaa babu
hawa dada zetu
hawa......huwezi kuamini wakati mwingine lakini ndo ukweli inabidi
ujikaze kiume....
Zinduna nimejiuliza sana je walikuwa hawashei hizo droo,na je alijua lini litabumbuluka? anyway its safe for her jamani,haaya mambo yapo sana Mtambuzi haza huku mjini unakuta mwanamke au mwanaume kawekeza kweli kweli kila kona ila wandani wake hajui.Huyo mwanamke naye aliharibu, Atafichaje mabomu chumbani!
Usimngemnasa hata kidogo.
Nilikuwa nampenda na yeye pia alikuwa ananipenda. Ukweli ni kwamba tulikuwa tukiaminiana sana na mke wangu
Kilichonitokea mimi ni bahati mbaya na ninaamini kama marehemu angeendelea kuishi ni lazima ningekuja kumnasa.
Ennie sijakataa ila nyie huwa mnafanya vitendo vya kinyama zaidi....heb ona huyo si bora angekua na mtu mmoja tu ? watatu wote wa nn?Maishapopote mkuu udanganyifu upo kote kote hata kwa wanaume pia.
hiihahaha, we mabom yako huwa unaficha wapi?....nahisi bwana wako naye ana shida aisee....
BelindaJacob hii ndiyo ilikuwa kesi ya Ijumaa hii, kwa hiyo usinidai kesi Ijumaa ikifika........................LOLGustavo asante kwa hii story..yaani jamaa ilibidi ajikaze kisabuni maana muhusika hayupo tena hata kumkabili dhidi ya hivyo vitu..Hii inaumiza zaidi maana daima kumbukumbu ya kusalitiwa na marehemu mkewe itazidi kumtawala.