Mbu big up mno...
haujawahi kuni disappoint....
hii story ni typical ya 'mume *****' story
huyu jamaa alifanya mistakes nyiingi na yeye alidhania ni sifa
eti sijawahi 'kukorofishana na mke wangu' hata siku moja
na yeye anafikiri hiyo ni sifa.....kumbe ndo ubwege wenyewe ulipo
alikuwa 'a door mart' kwa mkewe kila anachoambiwa anatii..
nafasi yake kama mume na kiongozi wa familia ilichukuliwa na mkewe
ndo maana mwisho hadi mkewe anamletea 'vibuzi' wamuuzie gari kizushi na yeye hastuki
hadi unakaa ndani eti droo za chumbani hazifunguliwi kwa miaka nane
na wewe unaona eti sawa...
kwa vyovyote mkewe alimpiga marufuku 'kugusa droo' hizo
hadi unabambikiwa mtoto machale hayakushutuki....
unless hiki kisa cha kutunga
but ukweli huyu jamaa ni ***** mno