Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Kiukweli ndo maana mie huwa nasemaga usiusemee moyo wa mtu.....
Na hii mzee mwenzangu Mtambuzi ndo yaleyale ya kinamama wa JF ambao wanapiga kelele kuwa wanaume ndo tunacheat ila wao hawacheat. Sasa mambo kama haya...dah! Inakuwaje unafanya maasi afu unaleta ushahidi nyumbani? (utanifanya nikapekue vikabrasha vya bimkubwa asee)
Natamani sana kusikia TAMWA wa JF kina Nyamayao, carmel, gfsonwin, BADILI TABIA, nyumba kubwa, MwanajamiiOne na mshkaji wangu Kongosho wanasemaje. Na yale macelebrity ya MMU kina Mbu, TIMING na Dark City yatalipua nini kwenye huu mkasa wa kufadhaisha sana....😛ray:
Habari hii iliwahi kuandikwa kwenye gazeti la Jitambue.
...mzee mwenzangu, kuna pahala pameandikwa "muishi na wake zenu kwa akili!"...
Enhee....huu mkasa haufadhaishi sana iwapo unazingatia huo wosia wa kale...."Uishi na mkeo kwa akili!"
Kiukweli ndo maana mie huwa nasemaga usiusemee moyo wa mtu.....
Na hii mzee mwenzangu Mtambuzi ndo yaleyale ya kinamama wa JF ambao wanapiga kelele kuwa wanaume ndo tunacheat ila wao hawacheat. Sasa mambo kama haya...dah! Inakuwaje unafanya maasi afu unaleta ushahidi nyumbani? (utanifanya nikapekue vikabrasha vya bimkubwa asee)
Natamani sana kusikia TAMWA wa JF kina Nyamayao, carmel, gfsonwin, BADILI TABIA, nyumba kubwa, MwanajamiiOne na mshkaji wangu Kongosho wanasemaje. Na yale macelebrity ya MMU kina Mbu, TIMING na Dark City yatalipua nini kwenye huu mkasa wa kufadhaisha sana....😛ray:
Mbu big up mno...
haujawahi kuni disappoint....
hii story ni typical ya 'mume *****' story
huyu jamaa alifanya mistakes nyiingi na yeye alidhania ni sifa
eti sijawahi 'kukorofishana na mke wangu' hata siku moja
na yeye anafikiri hiyo ni sifa.....kumbe ndo ubwege wenyewe ulipo
alikuwa 'a door mart' kwa mkewe kila anachoambiwa anatii..
nafasi yake kama mume na kiongozi wa familia ilichukuliwa na mkewe
ndo maana mwisho hadi mkewe anamletea 'vibuzi' wamuuzie gari kizushi na yeye hastuki
hadi unakaa ndani eti droo za chumbani hazifunguliwi kwa miaka nane
na wewe unaona eti sawa...
kwa vyovyote mkewe alimpiga marufuku 'kugusa droo' hizo
hadi unabambikiwa mtoto machale hayakushutuki....
unless hiki kisa cha kutunga
but ukweli huyu jamaa ni ***** mno
NA HUO NDIO UKWELI...mzee mwenzangu, kuna pahala pameandikwa "muishi na wake zenu kwa akili!"...
Enhee....huu mkasa haufadhaishi sana iwapo unazingatia huo wosia wa kale...."Uishi na mkeo kwa akili!"
Loh loh loh!........... Mtambuzi nimeisoma hii habari huku nimeshikilia pumzi, sasa najiuliza kuna wa kumwamini kweli duniani? Kama hawapo wa kuwaamini tuishi vipi na wenzetu huku tukiwa hatuna imani...............inachanganya kwakweli
Mimi nimependa sana hii habari, kitabia... binadamu wengi ndivyo tulivyo, tuna siri nyingi sana, tuna matamanio yaliyopitiliza na ujanja uliokubuhu
waweza kuta huyo mama aliweka hayo makabrasha yote mbali sana, lakini just a day before death akayachukua ayahamishe (si ajabu akirudi tu toka chalinze), lakini Mungu mkubwa. sishangai, sishtuki na katika maisha yangu nina kama 30% ya expectations kama hizo kwa kila mtu nimuonae
now back to topic
je huyo baba hana yake??
huyo mama kwanini atunze yote hayo tena ndani ya nyumba ya mumewe (kama ni kweli)
ina maana jamaa si mjanja kiasi cha kuhisi chochote?? au mama alikua mjanja sana??
anyway ngoja nitafakari............... ila ingekua mwanaume amefanya yote hayo, tungesikia maneno humu
Kamanda, .....kwa mtazamo wako, marehemu 'angeficha' wapi hizo memorabilia za utupu na hao hawara zake?
Unakumbuka picha za Mrembo Nsia mpaka zikavujia kwenye Ze Utamu? ---- laptop! dnt mention it....wakale walisema "za mwizi arobaini!" uloandikiwa kufumaniwa nalo linasubiria Arobaini yake kaka......."you will never walk alone!" Swahiba 😉
na ndio hoja niliyoweka, waweza kuta alishaficha miaka nenda miaka rudi, lakini siku alipoingiza tu ndani ya paa, hamad!! kitu kikajipa. let me tell you some bro, wanawake wanajua kulindana, waweza kuta hata mkeo ana nyumba na magari, lakini vyote viko kwa dada, mama na mashoga zake.....
habari haijanishtua, kwani wengi wa wake zetu wana usiri na ni malaika kwenye sura zetu, na iwe hivyo ili sisi na waototo wetu tuishi kwa amani....
YNWA....
Cha msingi ni kumuomba mungu katika mahusiano.
kama huna imani basi unatakiwa kuishi bila imani hviyo hivyoooooooo