Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanazota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau wafikishwe mahakamani na sisi wananchi maana Serikali haitaki.
WNikaripoti wapi jamani?!