Nikafungue wapi RB?

Nikafungue wapi RB?

kalaghesye

Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
79
Reaction score
11
Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanasota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau wafikishwe mahakamani na sisi wananchi maana Serikali haitaki.

Nikaripoti wapi jamani?!
 
Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanazota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau wafikishwe mahakamani na sisi wananchi maana Serikali haitaki.

WNikaripoti wapi jamani?!
 
Back
Top Bottom