Mkuu ni Stori nzuri sana, ila mimi niliishuudia kiukweliii kabisa kwa Jirani yangu.Isipokuwa yeye alimpeleka chumbani wakati my wife wake ndo kwanza alikuwa ametoka, bahati mbaya binti ndiye aliyewafuma, Mdingi alijua kuwa yuko peke yake, maana anaishi yeye binti yake na my wife wake, Binti alipoingia ndani ghafla alishangaa kusikia sauti ya mwanamke chumbani kwa wazazi wake, Akashangaa kuwa sauti aliyoisikia haikuwa ya mama yake, alichokosea Binti alivamia chumbani na kuwakuta uchi.Ilikuwa ni vurugu kati ya Baba na Binti, mama wa watu alitoka speed, kufika nje akawa anakana kuwa binti anamzingizia, Bahati mbaya wakati anatoka alidondosha simu sebulani na ukawa ushahidi usioweza kukanwa.