Nikamsikia akimwambia, ‘wewe ndiye mwanamke halisi’

Nikamsikia akimwambia, ‘wewe ndiye mwanamke halisi’

kwaio mtambuz unamaanisha binty yako waweza kum....... kisa umesmell 'ovulating woman ' jaman mweeee
cnt blv t..... ni defend 2 za ajb izo HAKUNA KAMA ICHO.
 
Kufumaniwa kubaya mwe! akili ilimruka mwanamume, nguvu zikamuisha, mwili ukamlegea akadundwa na mkewe. mwanamke naye alipata nguvu za ziada hata hajui zilitoka wapi, angeweza hata kuua mtu. Wanandoa kuweni waangalifu kwa kuziheshim ndoa zenu. Kama unataka mwanamke asili, mwambie mkeo ajiweke kiasili, usitamani wasio wako.
 
Ni kweli kuna harufu (inaitwa ya utamu, kweli baba nilisomaga kwenye gazeti usinitolee povu), kuna joto la mwili na wataalam wa body language wanasomaga. Some ar lucky enough kupata maumivu ya tumbo la uzazi kiasi kwa sababu ya zile contractions za kutoa yai na kulisafirisha kwenye mrija wa falopiani kuelekea kwenye kizazi (womb). Lakini ili mwanaume ajue hayo yote ya harufu, joto nk kunalazimika kuwepo ukaribu kiasi cha kutosha. Ndo maana dini inasema 'usiikurubie zinaa'. Mwanamke si wako hadi uliskie joto na harufu unasaka nini? Excuses nyingi tu!
Swali kwako dingi: do u know the unique smell of ur wife's breath?
Mzee mwenzangu, nime-google ili kujiridhisha, wataalamu wanadai kuna harufu itokayo kwa wanawake walio kwenye heat period inayowavutia wanaume........ haiyumkini ndio maana kuna wababa wanawabaka watoto zao au ndugu zao wa karibu, jibu limeshapatikana ni kumbe ni natural smell aisee..............!!!!!!!!!!

Hebu Bofya hii link: Men can ’sniff out’ ovulating women - Thaindian News
 
kufamaniwa kweli noma,ningekuwa huyo njemba sijui ningekimbia?....lets be carefull tukiwa tunacheat
 
Ni kweli kuna harufu (inaitwa ya utamu, kweli baba nilisomaga kwenye gazeti usinitolee povu), kuna joto la mwili na wataalam wa body language wanasomaga. Some ar lucky enough kupata maumivu ya tumbo la uzazi kiasi kwa sababu ya zile contractions za kutoa yai na kulisafirisha kwenye mrija wa falopiani kuelekea kwenye kizazi (womb). Lakini ili mwanaume ajue hayo yote ya harufu, joto nk kunalazimika kuwepo ukaribu kiasi cha kutosha. Ndo maana dini inasema 'usiikurubie zinaa'. Mwanamke si wako hadi uliskie joto na harufu unasaka nini? Excuses nyingi tu!
Swali kwako dingi: do u know the unique smell of ur wife's breath?

Kumbe nawe mwanangu ni Kapulya Mdadisi eh!
Kusema kweli, nikiwa karibu na mama Ngina mie nasikiaga harufu ya Mafuta ya Lady Gay na pafyum ya Yolanda anayopuliziaga. Bado sijajua hiyo harufu ya kuku wa kienyeji inanukiaje..........!!! LOL
 
Pole na safari.
Leo nimesoma story ni nzuri sana, sikutamani iishe,
je mkuu wewe unasemaje kuhusu hapo juu.
Mamndenyi, Mbona unaniulza maswali ya kunitega jamani.............! Unataka mama Ngina asome halafu na mimi niambulie kipigo! maswali kama hayo unatakiwa kuni PM..................LOL
 
Mkuu ni Stori nzuri sana, ila mimi niliishuudia kiukweliii kabisa kwa Jirani yangu.Isipokuwa yeye alimpeleka chumbani wakati my wife wake ndo kwanza alikuwa ametoka, bahati mbaya binti ndiye aliyewafuma, Mdingi alijua kuwa yuko peke yake, maana anaishi yeye binti yake na my wife wake, Binti alipoingia ndani ghafla alishangaa kusikia sauti ya mwanamke chumbani kwa wazazi wake, Akashangaa kuwa sauti aliyoisikia haikuwa ya mama yake, alichokosea Binti alivamia chumbani na kuwakuta uchi.Ilikuwa ni vurugu kati ya Baba na Binti, mama wa watu alitoka speed, kufika nje akawa anakana kuwa binti anamzingizia, Bahati mbaya wakati anatoka alidondosha simu sebulani na ukawa ushahidi usioweza kukanwa.
 
makalio yana mvuto kwa wanaume walio wengi,mara nyingine ili shetani linanitembelea ata mimi..maombi ndio silaha.
 
Eti mwanamke mchafu hayawani! Mchafu,hayawani ni huyo mume mtu!

Wanaume wengine huwa na hulka za ajabu, hawajali kabisa,hata aikute imechimbiwa kwenye banda la nguruwe, ataitaka tu tena bila hata kuiosha!
 
Back
Top Bottom