Nikaota Niko na Binti Jesca Magufuli

Nikaota Niko na Binti Jesca Magufuli

Baada ya kutoka zangu chuo kupiga msuli. Nikarudi home nikitafakari mambo mengi makubwa tunayofaidi watanzania kutoka kwa uongozi uliotukuka wa Rais wetu mpendwa.

Rais huyu ni kipenzi cha wengi, na mapenzi haya ameyapata baada ya kuonekana anapigania haki na rasimali za watanzania. Rais wetu Dkt JOHN POMBE MAGUFULI.

Baada ya kufika home, nikajiandaa kuendelea na msuli bed kama ilivyodesturi yetu wanafunzi wapenda elimu.

Ghafla nikapitiwa na kausingizi, nikaanza kupata picha kama nipo ikulu, naongea mambo mawili matatu na Mama Janet, ghafla akatokea Jesca akaja kunihug. Nilifurahi kumuona kwa sababu nilikuwa nimetoka ziarani.

Hatujakaa vizuri Mhe. Akaingia tukajitenga nikaanza kumueleza yaliyojiri.

Nikashtuka maskini. Ila Jesca bado yupo akilini.

Ndoto zangu huwa zinatolea kweli, nalisubiria tu hili kwa hamu...
Hongera, ijapokuwa nahisi kama unaukooo na musiba, nkamia na Kisandu.
 
Nimekuja nduki nikidhani ameambatanisha picha ya huyo mrembo jesca.....kumbee hakuna kitu[emoji87] [emoji87]
b454f30a3495953ef7124144cb0c8ec5.jpg

Huyu
 
Back
Top Bottom