navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 199
- 268
Una level gani ya elimuKichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Kwa miaka 28 umeshazeeka tulia ustaafu, ulikuwa wapi miaka yote usibadilisheKichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Msimu wa uchaguzi huu, kama Unaweza kuigiza kuwa mganga muda ndio huu.Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Anza biashara mapema..... Kabla mvi hazijasambaa kichwani. Nani kakuaminisha huko Afya kuna muujiza wa utajiri??Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Kasomee madawa....fungua duka la madawa ....ushatoboaKichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Kama unaweza kusoma health management system 3yrs,au clinical dentist, clinical optometry, radiology physiotherapy katk both level diploma and degreeKichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo
Mtaji ni mkubwa kozi ya pharmacy miaka mitatu kila mwaka 2.5m jumla 7.5m frame 200k monthly mtaji 10m hiyo pesa huyu mualimu haitowi wapi? Tayari ana familia.Kasomee madawa....fungua duka la madawa ....ushatoboa
AkopeMtaji ni mkubwa kozi ya pharmacy miaka mitatu kila mwaka 2.5m jumla 7.5m frame 200k monthly mtaji 10m hiyo pesa huyu mualimu haitowi wapi? Tayari ana familia.
Miaka 28 kazini au miaka 28 ya umri!!!?Kichwa cha habari kimetosha kuelezea,kiufupi niko sehem napiga chaki kama mpumbavu kwa miaka 28 .
Nataka badili kada no matter what kwani vigezo vyote vya kupata chuo ninavo