Mimi humu ndo babu lao.Wakuu za sahizi,
Mimi babu yenu nimeamua kujiunga nanyi leo, hii
Baada ya kuuona huu mtandao ukipewa support kubwa sana na watu mbalimbali
Mimi nime staafu kazi X niliyoitumikia kwa mika 35, mwaka 2016 rasmi hivyo nalea wajukuu tu,
Ningependa mnipokee wanajukwaa
Natanguliza shukran, kwenu ππ,
Muwe na weeknd njema
Unikome mtoto uliyelaaniwa na ukooHalafu ukute ndio Unique Flower kaamua kuja kivingine π π .
Anyways kama ni babu kweli kuwa makini sio kila unaemuona kwenye dp ndie uhalisia wa muhusika.
Usipokuwa makini pesa ya mafao yote utaishia kuhonga kwa kibabu mwenzio kinachojifanya binti.
Humu hakuna pisikali kuna maajuza, mashangazi na masingle mama yanayotafuta second chance in life.
Sawasawa, nimeelewaHalafu ukute ndio Unique Flower kaamua kuja kivingine π π .
Anyways kama ni babu kweli kuwa makini sio kila unaemuona kwenye dp ndie uhalisia wa muhusika.
Usipokuwa makini pesa ya mafao yote utaishia kuhonga kwa kibabu mwenzio kinachojifanya binti.
Humu hakuna pisikali kuna maajuza, mashangazi na masingle mama yanayotafuta second chance in life.
Mika badala ya miaka ...Wakuu za sahizi,