Nikaribisheni humu ndani.

Nikaribisheni humu ndani.

Dom boy

Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
99
Reaction score
64
Mie nami ndio kwanza nimejiunga katika Jf kwa mara ya kwanza, napenda kuwa na narafiki kutoka kona zote na wa jinsia zote, tubadilishane mawazo.[emoji124]
 
Karibu sana

1: Soma, elewa na ishi kwa kufuata sheria za jf.

2: Usilete mazungumzo ya PM jukwaani.

3: Usitukane watu directly wala usilete taarifa za uongo.

4: Usiandike kama upo Facebook mfano xaxa, jomoni n.k, au kifupi pasipo na ulazima.

5: Kuanzia leo utaitwa mkuu, mimi ndiyo mbatizaji humu ndani.

6: Ili kumalizia usajili wako tuma hapa picha yako.
 
Hilo neno.
 
Back
Top Bottom