Nikaribisheni jamani, natoka Kijiji Balaa

Nikaribisheni jamani, natoka Kijiji Balaa

Kijiji Balaa

Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
47
Reaction score
10
Jamani sina Balaa ila kama ukilitaka utalipa, naomba ukaribisho kijijini hapa jamani. Stori za huku kwetu ukizitaka nitakusimulia ila sharti uwe na moyo mgumu maana ni za kusikitisha na kuogofya sana.
 
Karibu bana pole na safari,vp mshavuna mazao??
 
Back
Top Bottom